AZAM FC: “…malengo yetu ni kufika fainali”.

Azam FC imewasili Kigoma kuwavaa Mashujaa FC, robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.

Mara baada ya kuwasili, kocha wa timu hiyo, Florent Ibenge anaeleza ugumu wa mchezo huo akisema wanalazimika kuwa bora zaidi ya wapinzani wao ili wafikie malengo yao ya kufuzu nusu fainali na baadaye fainali.

Naye afisa habari wa timu hiyo, Hasheem Ibwe anasema “…tutawapa mechi nzuri sana Mashujaa”.

Jacob Ruvilo anaripoti kutoka Kigoma.

#CRDBBankFederationCup #AzamFC

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *