Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ally, amesema dunia inakabiliwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika nyanja mbalimbali, ikiwem…Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ally, amesema dunia inakabiliwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika nyanja mbalimbali, ikiwem…

Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ally, amesema dunia inakabiliwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika nyanja mbalimbali, ikiwemo siasa, uchumi na ustawi wa jamii.

Ametoa wito kwa waumini kuungana kukemea maovu, kupinga dhuluma na kuimarisha maadili mema katika jamii.

Akizungumza katika Baraza la Eid al-Adha kitaifa lililofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohammed VI, makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *