Mkuu wa mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, amewataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Eid Al-Adha kwa amani, huku wakizingatia ulinzi wa watoto.
Akizungumza baada ya sala ya Eid iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa, barabara ya tisa jijini Tanga, amesema wazazi na walezi wanapaswa kuwasimamia watoto katika maeneo ya michezo na mikusanyiko.
Amesisitiza kuwa usalama wa watoto ni jukumu la jamii nzima wakati wa sherehe.
✍ Mariam Shedafa
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)
