#MICHEZO: Baada ya taarifa kuhusu kocha Frolent Ibenge kuwa karibu kutangazwa na timu ya taifa ya Mali huku taarifa nyingine zik…#MICHEZO: Baada ya taarifa kuhusu kocha Frolent Ibenge kuwa karibu kutangazwa na timu ya taifa ya Mali huku taarifa nyingine zik…

#MICHEZO: Baada ya taarifa kuhusu kocha Frolent Ibenge kuwa karibu kutangazwa na timu ya taifa ya Mali huku taarifa nyingine zikimuhusisha kuhitajiwa na timu ya taifa ya Angola.

@hoseamchopa amezungumza na @hasheem_ibwe ambaye amesema taarifa rasmi ya klabu Ibenge haondoki Azam fc na ana ameshaanza maandalizi ya msimu ujao.

Ibwe ametoa asilimia 90 za kocha kuiongoza Azam FC msimi ujao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *