#TANGAZO: Kuna watu wanasema manabii waliishia Agano la Kale ni vile hatutaki ugomvi wala kufunua mambo, lakini ukweli ni kwamba…#TANGAZO: Kuna watu wanasema manabii waliishia Agano la Kale ni vile hatutaki ugomvi wala kufunua mambo, lakini ukweli ni kwamba…

#TANGAZO: Kuna watu wanasema manabii waliishia Agano la Kale ni vile hatutaki ugomvi wala kufunua mambo, lakini ukweli ni kwamba huduma ya kinabii iliendelea hata baada ya Yesu. Biblia ndani ya Agano Jipya bado inawataja manabii na huduma yao.

Kama kuna huduma iliyopaswa kufutwa basi ni ya kikuhani na kichungaji, lakini huduma ya kinabii iliendelea kuwepo kwa ajili ya watu wa Mungu.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *