Timu ya taifa ya Tannzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imetinga fainali AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa mikwaju y…Timu ya taifa ya Tannzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imetinga fainali AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa mikwaju y…

Timu ya taifa ya Tannzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imetinga fainali AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa mikwaju ya penati 4-3.

Sasa, Tanzania itacheza na Senegal katika mchezo wa fainali, Senegal imetinga fainali kwa kuiondosha Morocco kwa mikwaju ya Penati 7-6

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *