TPLB | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kupitia Kaimu Afisa Habari wake, Yahya Abushehe imekiri kukoshwa na ushindani uliopo kweny…TPLB | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kupitia Kaimu Afisa Habari wake, Yahya Abushehe imekiri kukoshwa na ushindani uliopo kweny…

TPLB | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kupitia Kaimu Afisa Habari wake, Yahya Abushehe imekiri kukoshwa na ushindani uliopo kwenye Ligi kwa mizunguko 25 iliochezwa na ikiamini kuwa klabu zimejipanga kumaliza msimu kwa kishindo.

Mhariri | @rajjmsangi

#TPLB

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *