Mwanandoa Mrs. Joan Aron amesema kuwa maisha ya ndoa yana changamoto nyingi zinazohitaji uvumilivu, busara na ushirikiano ili ziweze kutatuliwa kwa mafanikio.

Amesema wanandoa wanapaswa kutafuta njia sahihi za kukabiliana na changamoto hizo badala ya kuzikwepa, kwani kufanya hivyo husaidia kudumisha amani, upendo na utulivu ndani ya ndoa.

✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @rajmsangi
@mercy.mbaya
@david_wakarungi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *