Azam TV imeongeza timu ya watangazaji na wachambuzi wa kandanda kwa ajili michuano ya Kombe la Dunia linalotarajiwa kuanza Juni 11, ambapo jumla ya mechi 104 zitarushwa mubashara kupitia chaneli za Azam Sports.
Utafuatilia mechi zote 104 za Kombe la Dunia ukiwa mkoa gani?
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)