KOMBE LA DUNIA | Ujerumani dhid ay Argentina, ulikuwa ni mchezo wa fainali katika fainali za mwaka 2014 zilizopigwa nchini Brazil.

Ujerumani akachukua ubingwa wake wa nne wa Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0.

Je, unakumbuka goli liliufungwa na nani na ilikuwaje?

Hiyo ndiyo mechi unayoitazama sasa hivi Azam Sports HD, moja kati ya fainali ngumu zaidi za Kombe la Dunia.

NB: Tutakuwa tunakuletea baadhi ya mechi za kihistoria za michuano ya Kombe la Dunia, na leo tumeanza na hii…

Uhondo huu unaupata kupitia chaneli ya #AzamSports2HD

Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *