Wizara ya Uchukuzi imeanza kufanya matengenezo makubwa kwenye karakana ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ili kuruhusu ndege zinazotua kwenye uwanja huo kufanyiwa matengenezo uwanjani hapo pale inapohitajika.

Hatua hiyo inaelezwa kuokoa mambilioni ya fedha ambazo serikali ilikuwa ikitumia kwa ajili ya matengenezo ya ndege nje ya nchi.

Enos Masanja na taarifa zaidi.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *