Urusi imeituhumu Marekani kwa kupoteza sifa ya kuwa mpatanishi asiye na upendeleo katika mzozo wa Ukraine, ikionya kuwa mataifa ya Magharibi yanajiandaa kwa vita vya wazi dhidi yake.
Kauli hiyo imetolewa wakati juhudi za kidiplomasia zikiwa zimekwama, huku Moscow ikikosoa vikali hatua ya nchi za Ulaya kuongeza bajeti za ulinzi na kuendelea kuiwekea Urusi vikwazo vya kiuchumi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)