Baada ya kunusurika katika ajali ya pikipiki na kufanyiwa upasuaji, wengi walidhani safari ya kijana Fati ingekuwa imefikia tamati huku ndoto kubwa alizonazo katika fikra kuzikwa katikati ya majonzi na huzuni lakini nguvu ya ndoto hizo imempa ujasiri wa kusimama tena ili kuithibitishia dunia kuwa yeye ni mkubwa kuliko huzuni yake.
Dafrosa Prosper anasimulia zaidi
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)