Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala (REA), mhaandisi Advera Mwijage amewaeleza wadau wanaotembelea Maonesho ya Sabasaba kuwa wakala.hayo inaendelea na utekelezaji wa miradi ya nishati safi ya kupikia, jadidifu na mbadala katika maeneo mbalimbali nchini.
Amessema tayari Mradi wa Ufungaji wa Mifumo ya Nishati safi ya kupikia katika Kambi 22 za JKT kwa gharama ya Sh6.87 bilioni imekamilika.
Kuhusu miradi inayoendelea, amesema kuwa uunganishaji wateja 6,068 katika vijiji 42 wanavyohudumiwa na gridi ndogo kwa ruzuku ya Sh14.83 bilioni inaendelea.
(Feed generated with FetchRSS)