#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa, amechukua fom…#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa, amechukua fom…

#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa, amechukua fomu ya kwenye Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bariadi Vijijini zilizopo kwenye jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu na Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo Bi.Beatrice Gwamagobe, Kadogosa amesema muda wa kampeni ukifika utakuwa wakati sahihi wa kuyaeleza yale mazuri yaliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi ambayo akipata ridhaa ataendelea pale yalipoishia.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *