MZIZIMA DERBY | Mashabiki wa Azam FC wamefika uwanjani..

Ni hapa katika Dimba la Gombani, Pemba ikiwa ni Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank itakayopigwa leo Julai 4,2026.

Ni Simba SC vs Azam FC

Mechi ni saa 11:00 jioni na itakuwa LIVE kupitia #AzamSports1HD

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 tu unatazama fainali hii.

📸 Rajj Msangi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *