RAIS SAMIA AMPA POLE PACOME
Rais Samia Suluhu Hassan amemtembelea na kumjulia hali mchezaji wa Young Africans Sports Club, Pacome Zouzoua ambaye aliumia kwenye mchezo wa mwisho wa #NBCPremierLeague dhidi ya JKT Tanzania, Juni 30, 2026.
Katika habari picha iliyowekwa kwenye ukurasa rasmi wa klabu hiyo, umemuonesha Dkt. Samia akizungumza na Pacome ambaye bado anaendelea na matibabu.
#AzamSportsUpdates #YangaSC #Pacome #RaisSamia

(Feed generated with FetchRSS)