YANGA NA MAKOMBE YAO: YANGA SC: Meneja wa Kidijiti wa Yanga SC, @privaldinho amesema wakosoaji wa klabu hiyo wanaipa nguvu zaidi kupitia changamoto wanazozieleza na maeneo yanayohitaji kuboreshwa.

Privaldinho amesema Yanga ilipitia kipindi cha kushuka kidogo ukilinganisha na msimu uliopita, lakini hali hiyo haijapunguza ubora wala uwezo wa klabu hiyo kuendelea kushindana na kutimiza malengo yake ya msimu.

✍ @katty_shirima
Mhariri @rajjmsangi

#YangaSC #azamsports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *