Kukatika kwa umeme kulimzuia kutuma maombi ya kazi kwa wakati, lakini changamoto hiyo ikamhamasisha Francis Madanganya kubuni suluhisho.

Kijana Francis mwenye ulemavu, amebuni power bank yenye uwezo wa kuchaji kompyuta mpakato, akilenga kuwasaidia wananchi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaokabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *