Watu wawili wamefariki dunia na wengine 50 wameokolewa baada ya boti ya MV Kalebezo kushika moto katika Ziwa Victoria, ikiwa safarini kutoka Kisiwa cha Goziba kuelekea jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo Alhamisi.
Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri Majini (TASAC) kiliwasili eneo la tukio na kufanikiwa kuwaokoa abiria waliokuwa hatarini, huku uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo cha moto huo.
#azamtvupdatesv
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)