Licha ya mchango mkubwa wa sekta ya uvuvi katika uchumi wa taifa, sekta hiyo inaendelea kukabiliwa na changamoto za uvuvi haramu, utoroshaji wa mazao ya uvuvi pamoja na ukosefu wa miundombinu ya kisasa ya kuhifadhi na kuongeza thamani ya mazao hayo.

Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi anayeshughulikia rasilimali za uvuvi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Owen Kibora, wakati wa mkutano wa wadau wa uvuvi uliolenga kuweka mikakati ya uhifadhi endelevu wa rasilimali za pwani.

✍ Mariam Shedafa
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *