KIGOMA: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila, amehudhuria hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma iliyoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Jumatatu, Julai 20, 2026.

Kafulila alikuwa miongoni mwa watendaji wa taasisi za Serikali zenye dhamana ya kutekeleza miradi ya kimkakati, ambapo Rais Samia alisema Kigoma haitakuwa mwisho wa reli tena, bali sehemu ya kufungua fursa za kiuchumi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *