Mrengo wa upinzani Somalia wafikia makubaliano na serikali kuhusu uchaguziMrengo wa upinzani Somalia wafikia makubaliano na serikali kuhusu uchaguzi

[ad_1]

Mrengo uliojitenga na muungano mkuu wa upinzani nchini Somalia wa Salvation Forum umetia saini makubaliano ya uchaguzi na Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, na hivyo kutoa pigo kubwa kwa harakati kuu ya upinzani nchini humo.

[ad_2]

BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *