#HABARI: Benki ya NMB Kanda ya Kusini, imefanikiwa kutoa elimu ya fedha kwa wakulima elfu tano, lengo likiwa kuwapa mikopo yenye riba nafuu ili waweze kununua mashine za kubangua korosho na kuongeza thamani ya zao hilo.
Akizungumza katika mkutano wa wakulima wa zao la Korosho katika Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara, Afisa kutoka NMB Faundation, Bw. Wilifred Ngajiro, anaeleza walivyojipanga kuwawezesha, huku Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya South Saharans Engineering Limitend inayouza mashine hizo akisifu hata ya Benki ya NMB.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.