#HABARI: Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la Abiria aina ya Hiace yenye namba za usajili T…#HABARI: Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la Abiria aina ya Hiace yenye namba za usajili T…

#HABARI: Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la Abiria aina ya Hiace yenye namba za usajili T476 DHL lililokuwa likitokea eneo la Chipaka lililopo Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, kuelekea Mpemba kuangukiwa na Kontena lililokuwa limebeba shehena ya mbolea likitokea nchini Zambia kuelekea mkoani Dar es Salaam, ambalo lilikuwa limebebwa na lori lenye namba T564 EMG na trela namba T800 DWA.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *