#HABARI: Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hich…#HABARI: Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hich…

#HABARI: Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hicho walipofika Ofisi ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, kurejesha fomu ya uteuzi wamezuiwa na kushindwa kungia kweye geti la ofisi za INEC, ambapo baada ya mazungumzo na Maafisa wa usalama waliokuwa getini hayakuzaa matunda hivyo kuondoka katika eneo hilo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *