#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma, Bw.Majalio Kyara amesema endapo atashinda nafasi hiyo na kuingia madakani atarejesha mfumo wa matumizi ya mbegu za asili kwa jili ya uzalishaji wa mazao mbalimbali ili kwa kuwa mbegu hizo zina ubora mkubwa kuliko za kisasa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
