Ikiwa zimesalia wiki tatu kabla ya Watanzania kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 mwezi huu, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema kuwa kampeni zake zinaendelea vizuri, kutokana na ukweli kwamba wanafikia maeneo yenye mahitaji halisi ya wananchi.

Mwandishi wetu Theresia Mwanga anaripoti kutoka Morogoro kuwa chama hicho kimeeleza matumaini ya kufanya vizuri kutokana na mwitikio chanya wa wananchi katika maeneo waliyoyatembelea.

Imeandaliwa na Jairo Mtitu
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *