ICC yampata na hatia kiongozi wa uhalifu wa kivita Darfur, Sudan

Mahakama ya ICC imempata Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman na hatia ya makosa 27 ya uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita, ikiwa ni pamoja na ubakaji, mauaji na mateso katika jimbo la Darfur.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *