Wananchi wa Kijiji cha Kibaoni waliopisha eneo kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, mkoani Katavi wamekabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.7 kama fidia ya maeneo yao yaliyotumika kutekeleza mradi huo muhimu wa elimu na maendeleo.
Imeandaliwa na Jairo Mtitu
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates