Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha kampeni na uchaguzi wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro baada ya mgombea wa CUF, Daudi Wilbroad Ntuyehabi kuuawa.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *