Fahamu kwamba pamoja na uchaguzi huu wa mwaka 2025 kufanyika Tanzania Bara na Visiwani, kitovu cha kipekee ni Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Upekee wake unatokana na historia yake ya kisiasa, katiba mbili ndani ya moja, na taratibu zake za upigaji kura.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *