Uwe mzawa au mtalii, AzamPesa inakuhakikisha maisha ya kifahari yasiyo na usumbufu popote ulipo. Kwa sasa, huduma hiyo imezidi kupanuka baada ya kuingia katika ushirikiano na kampuni ya VISA, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha duniani kote.
Kupitia ushirikiano huo, wateja wa AzamPesa wataweza kufanya miamala kwa urahisi zaidi, hata katika maeneo yenye shughuli nyingi za utalii kama Zanzibar na Serengeti. Hatua hii inatarajiwa kupunguza changamoto za upatikanaji wa pesa na kukuza uzoefu bora wa kifedha kwa watumiaji wote.
#AzamTVUpdates
✍Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi