“Kule Mwanza kuna reli ya SGR inaendelea kujengwa ambayo sehemu ya reli ile itapita hapa Simiyu, eneo la Maswa wilaya ya Maswa, lakini vilevile kuna reli tutaijenga inayotoka Tanga, itapita Moshi, Arusha mpaka Musoma, na kwa hapa Simiyu itapita wilaya ya Meatu, Itilima na Bariadi, na humo kote itakapopita itakuwa na vituo vya kushusha na kupakia, hizi ni fursa za biashara lakini pia ni ajira kwa vijana wetu, kwasababu katika vituo vile kutakuwa na maeneo ya biashara, mahoteli na shughuli nyingi, serikali itajenga maghala ya kuhifadhia bidhaa zitakazosafiri kwa reli hiyo. Hizo ni fursa maalumu za ajira, ni kazi kwa ajili ya vijana wetu”Dkt.Samia Suluhu Hassan – Mgombea Urais CCM
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.