#HABARI: Wananchi wametakiwa kumchagua mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan na wagombea wa chama hicho kwenye ngazi ya Ubunge na Udiwani ili kuendeleza amani na utulivu uliopo nchini.
Akizungumza kwenye mkutano wa Kampeni wa Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt.Emmanuel Nchimbi uliofanyika Rufiji mkoa wa Pwani, Kada wa CCM na mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, aliyemaliza muda wake, Cecilia Paresso amesema kuwa katika kipindi kilichopita wananchi wameshuhudia maendeleo makubwa ya miundombinu na sekta nyingine.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.