Mgombea wa kiti cha urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalim ameahidi endapo wananchi watamchagua kuwa Rais na akaunda serikali atajenga uchumi wa kisasa kwa kuimarisha sekta binafsi kuwa ya ushindani ili kuchagiza upatikanaji wa ajira.
Taarifa zaidi na Emmanuel Kalemba.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi