Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru amewaomba ridhaa wananchi wamchague kuwa Rais wa Tanzania ili aondoe kero na changamoto pamoja na kupambana na ufisadi wa fedha za umma.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *