#HABARI: Wananchi wa jamii ya wafugaji wilayani Monduli mkoani Arusha, wamewataka wanasiasa wanaowania nafasi za uongozi, katika ngazi ya ubunge na udiwani, kutoa ahadi wanazojua kwamba watazitekeleza, ili kuepusha changamoto zisizo na ulazima hapo baadaye

Wametoa thadhari hiyo wakati wa kampeni za kumuombea kura Mgombea wa urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea ubunge Bw. Issack Joseph na wagombea udiwani akiwemo Bw Kisyoki Ndeitiko wa kata ya selela.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *