Mgombea Urais Doyo Hassan Doyo wa (NLD) amesema iwapo ataibuka kidedea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 ataunganisha uchumi wa wakulima wa Afrika kwa kujenga soko la kimataifa la mazao kwenye mikoa ya nyanda za juu kusini litakalotoa fursa ya kuuza na kununua kwa mazao kwa wingi.

Mwanaidi Waziri amehudhuria kampeni za Doyo katika mikoa ya Katavi na Rukwa.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *