Mgombea Urais wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara amewataka wananchi wa manispaa ya Musoma kukichagua chama hicho katika Uchaguzi Mkuu na kuwaahidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi kwa kuongeza motisha kwa asilimia 30 kwa watumishi wa afya watakaokuwa tayari kufanya kazi vijijini.

Mwanahabari wetu Augustine Mgendi ana taarifa zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *