“Itakapofika tarehe 29 kila mtu, mshike mkono rafiki yako nenda naye kapige kura, achaneni na habari nyingine, tuna kazi moja tarehe 29 ya kuuthibitishia ulimwengu wote kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na kwamba amani yetu sisi ndiyo mtaji wetu. Hatubaguani kwa dini zetu, hatuulizani makabila yetu, hatuulizani chochote na tumebaki kuwa wamoja kwa sababu tunaye kiongozi ambaye moyo wake, akili yake na fikra zake ni kulifanya hili Taifa kuwa Taifa moja kwa sababu yeye falsafa yake ni kazi na utu”-Dkt.Doto Biteko – Mgombea Ubunge CCM Bukombe.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *