HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Bwana Jabir Makame amekanusha taarifa zilizoonekana kwenye video fupi katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikionesha wananchi wa Kijiji cha Chitete wilayani Momba wakigombania maji kutoka kwenye pipa lililokuwa limepakiwa kwenye pikipiki ya magurudumu matatu huku ikionyesha wananchi wakigombania maji hayo wakiwa na ndoo na masufuria.

RC Makame akiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wa mamlaka ya maji amefika katika kijiji hicho na kusema taarifa hizo sio za kweli na hali ya upatikanaji wa maji katika wilaya hiyo umeongezeka ukilinganisha na miaka iliyopita.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *