#HABARI: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisema “Kaka yangu Magufuli ameondoka lakini Dada yenu sitaiacha Geita”.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, amesema Rais na Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia, ni kiongozi wa mfano ambaye anaishi kwa vitendo maneno yake, akisisitiza kuwa uongozi wake umeleta mageuzi makubwa ya maendeleo nchini.
Amehutubia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika mkoani Geita, Aweso amekumbusha hotuba ya Dkt. Samia aliyoitoa mara baada ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo aliahidi kutowasahau wananchi wa Geita.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania