#HABARI: Uwekezaji, uwezeshaji na maboresho madhubuti ya Vipaumbele 5 vya Sera ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ikiwemo kilimo, nishati, miundombinu ya usafiri majini na utalii endelevu vimechochea ongezeko kubwa kwenye pato la Taifa la Zanzibar kutoka asilimia 29 mwaka 2020 hadi asilimia 42.5 mwaka 2024.

Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Kapteni Hamad Bakar Hamad wakati akizungumza na vyombo vya habari Zanzibar kuhusiana na matokeo makubwa yaliyopatikana kwenye wizara hiyo ndani ya kipindi cha miaka 5 ya uongozi wa Rais Dkt. Husein Mwinyi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *