#HABARI: Wakati uchaguzi Mkuu ukikaribia Viongozi na waumini wa dini ya Kiislam mkoani Arusha, wamefanya ibada maalum ya kuliombea Taifa, huku wakisisitiza suala la Watanzania kuendelea kuimarisha amani na pia kuvumiliana.
Viongozi hao wametoa ujumbe huo , baada ya kufanya matembezi katika maeneo mbalimbali jijini Arusha na kisha kusoma dua maalum ya kuliombea Taifa.
Wamesema suala la uvumilivu lina umuhimu mkubwa hasa wakati zinapojitokeza changamoto, na ni utaratibu ambao ulitumiwa na Mitume na Manabii wa dini zote na pia kusisitizwa katika vitabu vyote vitakatifu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.