#HABARI:Kundi la tembo limevamia mashamba ya wakulima wa mpunga na miwa katika skimu ya umwagiliaji ya Mkula mkoani Morogoro, na kuharibu hekari 50 za mpunga likiwemo shamba la majaribio ya utafiti wa mbegu za kisasa Kinzani, kwa ajili ya kilimo kwenye ardhi yenye magadi chumvi na kustahimili ukame.
Hayo yamebainika wakati wakulima kwenye skimu hiyo, wakifanya uchaguzi wa mbegu za mpunga ili ziende katika hatua nyingine kwa ajili ya kupitishwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.