#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Majalio Kyaraamesema endapo ataingia madarakani atarejesha uzalishaji wa zao la ngano, uliokuwa unafanyika katika shamba kubwa la ngano la Bassotu lililoko katika Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, ili kufungua fursa nyingi za ajira na kuongeza pato la taifa.
Mhe. Majalio Kyara ameyasema hayo akiwa katika maeneo tofauti Babati mkoani Manyara akiendelea na kampeni za chama hicho kuomba kura kwa wananchi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.