Unataka kufahamu nini kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira Tutakuwa naye Oktoba 15, 2025 katika chaneli ya UTV kuanzia saa 2:30 asubuhi katika mahojiano maalum. Usikose…!

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *