Historia ya ukombozi wa Tanganyika kupitia kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere imehifadhiwa katika maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi.
Miongoni mwa maeneo yaliyohifadhi historia na harakati za Baba wa Taifa ni nyumba aliyokuwa akiishi wakati wa harakati za ukombozi iliyopo Magomeni, Dar es Salaam.
Nyumba hiyo imehifadhi nini na nini?
Angalia simulizi hii kufahamu zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi