Wiki hii ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV.

Yanga na Simba watakuwa viwanja vya ugenini katika mechi za ligi ya mabingwa Afrika kuwania hatua ya Makundi.

AzamFC na Singida BS watakuwa pia viwanja vya ugenini wakiisaka tiketi za hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Katika BUNDESLIGA itapigwa Der Klassiker, Bayern Munich watakuwa uwanja wa nyumbani Allianz Arena wakiwakaribisha Borussia Dortmund.

Kwenye SERIE A, AS Roma watakuwa dimba la nyumbani la Olimpico wakiwakaribisha Inter Milan.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi.

#WikiYaMoto #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *